Habari RFI-Ki

Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta kwends Hague au la

Sauti 10:02
Uhuru Kenyatta Septemba 22 jijini Nairobi.
Uhuru Kenyatta Septemba 22 jijini Nairobi. REUTERS/Stringer

Makala ya Habari rafiki jumanne hii inajikita kuangalia suala la kesi inayomuhusu raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta,..Pamoja na wsilizaji tunaangalia hapa kuhusu hatuwa hiyo ya rais kupelekwa Hague.