Nyumba ya Sanaa na PPT media ya Dar es salaam

Sauti 19:45

Nyumba ya Sanaa juma hili imekaribisha Meneja Uhusiano wa PPT Media Isack Nyasilu pamoja na msanii chipukizi wa nchini Tanzania Kawie Tengeni ambao kwa pamoja wanazungumza na mtangazaji wa makala haya Edmond Lwangi Tcheli kuangazia sekta ya muziki nchini Tanzania.