Kwa mara nyingine Umoja wa Mataifa UN wataka suluhu ipatinake kati ya Waasi wa M23 na serikali ya DRC

Sauti 09:57
Martin Kobler akiwasabahi kinamama wanajeshi wa FARDC
Martin Kobler akiwasabahi kinamama wanajeshi wa FARDC Monusco/Myriam Asmani

Leo inaangazia Umoja wa mataifa kwa mara nyingine umetaka suluhu kupatikana kati ya waasi wa M23 na serikali ya DR Congo..Hayo yanajiri wakati Umoja wa mataifa ukishutumiwa kwa kutowachukulia hatua wanajeshi wa Congo DR kwa kujihusisha na ubakaji wa raia....!