Changu Chako, Chako Changu

Mfahamu Rais wa kwanza wa Cote d'Ivoire

Sauti 19:37

Karibu katika makala ya "Changu Chako, Chako Changu" na leo utasikia historia ya Rais wa kwanza wa Cote d'Ivoire ikiwa ni mwendelezo wa historia za viongozi mbalimbali wa barabara la Afrika hususani mataifa ya Afrika Magharibi yanayozungumza zaidi lugha ya Kifaransa.