Mjadala wa Wiki

Maombolezo ya kifo cha Nelson Mandela na mchango wake katika ukombozi wa bara la Afrika

Imechapishwa:

Karibu katika makala ya Mjadala ya Wiki na juma hili tunatazama maombolezo ya kifo cha Rais wa kwanza mweusi wa nchini Afrika Kusini Nelson Mandela aliyefariki dunia tarehe 5 Desemba, katika kuliangazia hili tutaungana na Dk. Benson Bana Mhadhiri kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam na Mwandishi wetu Emmanuel Makundi aliyeko nchini Afrika Kusini.