Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Kuuawa kwa kamanda wa kijeshi Mamadou Ndala Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, mapigano nchini Sudani na Ziara ya Waziri wa Ulinzi wa Ufaransa Jean-Yves Le Drian

Imechapishwa:

Miongoni mwa matukio makubwa tutakayoangazia juma hili ni kuuawa kwa kamanda wa oparesheni maalumu iliyofanikisha kuwaondoa waasi wa M23 Mashariki mwa DRCongo, Mamadou Ndala. Pia tutaangazia mapigano yanayoendelea kushuhudiwa huko nchini sudani Kusini pamoja na ziara ya Waziri wa ulinzi wa Ufaransa Jean-Yves Le Drian katika baadhi ya mataifa ya Afrika.

REUTERS/Kenny Katombe
Vipindi vingine