Changu Chako, Chako Changu

Historia ya viongozi wa Afrika

Sauti 19:44

Katika makala zilizopita uliwahi kusikia kuhusu historia ya Seiko Toure wa Guinea na Felix  Houphouet-Boigny wa Cote d'Ivoire, fuatilia mengi zaidi upate kujua habari za viongozi hawa wa Magharibi ya Afrika ambao walikuwa hawapatani.