Jua Haki Zako

Wanadamu wengi hawajui haki zao

Sauti 10:11

Watu wengi wamekua hawajui haki zao, baadhi ya vipengele vya katiba za mataifa mbalimbali duniani vimezipa nafasi haki za binaadamu, lakini kuna baadhi ya watu, ambao wamekua wakipokonywa haki zao. Katika makala haya”Jua Haki Zako”,tunaongea na baadhi ya wataalamu, ili kujua kwanini baadhi ya haki za binadamu, hasa haki elimu, zimekua zikipokonywa, aidha walengwa hawatendewi haki.