Afrika Ya Mashariki

Serikali ya Tanzania yaanzisha mpango wa kuliendeleza iliyouita "matokeo makubwa sasa"

Sauti 09:27

Mataifa mengi barani Afrika, yamekua yakiwataka raia kubadili tabia na kujikita na maendeleo endelevu. Serikali ya Tanzania, moja kati ya mataifa wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, imepania kutekeleza mpango wake iliyouita matokeo makubwa sasa, ambapo serikali inataka kuifanya nchi kuelekea kwenye kipato cha kati, mpango huo umelenga wizara sita, ikiwemo sekta ya elimu. Tumeongea na wadau katika mpango huo.