Habari RFI-Ki

UTORO KATIKA MASHULE

Sauti 09:06
rfikiswahili

Makala haya ya Habari Rafiki yanazungumzia kuhusu swala la Utoro mashuleni hususan katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, Ungana na Ebby Shaban Abdallah katika Makala Haya........