Mjadala wa Wiki

HALI YA USALAMA INAYOJIRI NCHINI JAMUHURI YA AFRIKA YA KATI

Sauti 10:30

Machafuko yanaendelea kushuhudiwa katika nchi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati, ambako malfu ya watu wamepoteza maisha na wengine kulazimika kuyahama makaazi yao. Katika makala ya “Mjadala wa wiki” tunaagazi hali inayojiri nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, ambako wadadisi wanasema, taifa hili linakabiliwa na mchafuko ya kidini.