Gurudumu la Uchumi

Uchumi wa Sudan Kusini

Sauti 09:28

Makala haya ya “Gurudumu la Uchumi”, inaangazia kuhusu uchumi wa taifa changa la Sudan Kusini, baada ya taifa hili kukabiliwa na machafuko ya wenyewe kwa wenyewe. Ungana na Victor Abuso......