Habari RFI-Ki

Utumiaji wa sarafu moja katika Jumuiya ya Afrika Mashariki

Sauti 10:19
rfikiswahili

Makala ya "Habari Rafiki",  inaangazia juu ya ushauri wa mkurugezi wa Shirika la fedha duniani bi hristine Lagarde kuionya Jumuiya ya Afrika Mashariki dhidi ya mpango wake wa kutaka kuwa na sarafu moja. Ungana na Ebby Shabani Abdallah.....