Habari RFI-Ki

Kundi la Al-Shabab lawataka wakaazi wa maeneo wanayoshikilia kutotumia mtandao wa Internet

Sauti 09:18

Makala haya ”Habari Rafiki” yanaangazia kuhusu tangazo la kundi la kigaidi la Al Shabab kuwataka wakaazi wa maeneo wanayoshikilia nchini Somalia kutotumia mtandao wa internet, na endapo yeyote atabainika anatumia mtandao wa internet atachukuliwa hatua. Ungana na Sabina Nabigambo........