Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Serikali ya mpito nchini Jamhuri ya Afrika yakubali kujiuzulu baada ya shinikizo na hali ya baridi kali yasababisha madhara huko nchini Marekani.

Imechapishwa:

Karibu katika makala ya Mtazamo Wako kwa Yaliyojiri Wiki Hii na miongoni mwa matukio tutakayojadili ni kuhusu mkutano wa viongozi wa mataifa ya Afrika ya Kati nchini Chad ambako pia yamefikiwa maamuzi ya kujiuzulu kwa Rais wa mpito wa Jamhuri ya Afrika ya Kati Michel Djotodia pamoja wa Waziri Mkuu wake Nicolas Tiangaye, pamoja na hayo tutaangazia hali ya baridi kali inayoendelea kushuhudiwa huko nchini Marekani. 

AFP PHOTO / ERIC FEFERBERG
Vipindi vingine