Habari RFI-Ki

Matumizi ya lugha ya kiswahili

Sauti 09:54
rfikiswahili

Makala haya “Habari Rafiki”, yanaangazia umuhimu wa lugha ya kiswahili na matumizi yake. Watu wengi wamekua wakichukulia kiswahili kama lugha ya wahuni, lakini baadhi ya viongozi wa kiafrika wamekua wakisifu lugha ya kiswahili.Ungana na Flora Mwano........