Siha Njema

Ugonjwa wa macho

Sauti 08:46
rfikiswahili

Makala haya ya “Siha Njema', yanaangazia kuhusu ugonjwa wa macho, hasa mtoto wa jicho. Ugonjwa huu umekua ukisumbua watu wengi duniani.Ungana na Ebby Shaban Abdallah.....