Habari RFI-Ki

Tafsiri na umuhimu wa Maulid

Imechapishwa:

Makala haya ya “Habari Rafiki” yanaangazia kuhusu siku kuu ya Maulid kwa waislamu(kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad saw), siku ambayo imesheherekewa tarehe 14 januari mwaka 2014. Umuhimu na tafsiri ya siku kuu ya Maulid.Ungana na Ebby Shaban Abdallah.................

RFI
Vipindi vingine