Habari RFI-Ki

Tuhuma za Monusco dhidi ya M23

Sauti 09:57
RFI

Makala haya ya “Habari Rafiki”, yanaangazia tuhuma ya jeshi la kulinda amani la Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo MONUSCO kwa kusema kua kundi la waasi wa M23 limeanza kusajili wapiganaji wapya sehemuwaasi hao wanakopiga kambi nchini Rwanda na Uganda, licha ya waasi wa kundi la M23 kukanusha taarifa za kujiandaa kurudi tena Mashariki mwa nchi hiyo. Ungana na Flora Mwano...........