Habari RFI-Ki

Kumbukumbu ya miaka 13 tangu auawe Laurent Desire kabila DRC

Sauti 09:43
RFI

Makala haya ya “Habari Rafiki” yanaangazia miaka 13 tangu kuuawa kwa rais wa watatu wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Laurent Desire Kabila, ambae aliuuawa kwa kupigwa risasi na mtu anaeshukiwa kua mlinzi wake Rashidi Muzele. Baada ya kifo cha rais Laurent Desire Kabila, usalama umezingatiwa vipi, uchumi uko je, haki za binadamu zimeheshimishwa,....?Ungana na Sabina Nabigambo......