Muziki Ijumaa

Msanii wa miondoko ya Reggae Tiken Jah Fakoly

Sauti 10:00
RFI

Makala haya ” Muziki Ijumaa”, Juma hili, yanamzungumzia msanii wa miondoko ya Reggae  Tiken Jah Fakoly, raia wa Cote d'Ivoire, ambaye amejizolea sifa tele kufuatia ujumbe unaobeba nyimbo zake. Ungana na Ali Bilali katika makala haya.