Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Matukio muhimu yaliyojiri juma hili

Sauti 20:58

Katika makala ya leo utasikia kuhusu matukio mbalimbali yaligonga vichwa vya habari juma hili ikiwemo hatua ya kundi la M23 kukanusha tuhuma kuwa wanajiandaa kijeshi ili warejee katika baadhi ya maeneo mashariki mwa DRConco, Hali ya kisiasa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati na harakati za wafadhili kukusanya misaada ili kuisaidia nchi ya Syria.