Habari RFI-Ki

Mazungumzo ya Syria

Sauti 09:50
Waziri wa mashauri ya kigeni wa Syria, Walid Mouallem, katika mazungumzo ya kusaka amani mjini Geneva, le januari 22 mwaka 2014
Waziri wa mashauri ya kigeni wa Syria, Walid Mouallem, katika mazungumzo ya kusaka amani mjini Geneva, le januari 22 mwaka 2014 REUTERS/ Jamal Saidi

Makala haya “Habari Rafiki”, yanaangazia mazungumzo ya amani ya Syria yaliyoanza tangu jana mjini Geneva. Mazungumzo hayo yanazishirikisha pande mbili husika katika mgogoro wa Syria, ambazo ni serikali ya Syria na wapinzani wake.Ungana na Flora Mwano..................