Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Jamuhuri ya Afrika ya Kati yapata kiongozi wa mpito,Mazungumzo ya amani Syria yayumba

Sauti 20:20
La présidente centrafricaine de la transition Catherine Samba-Panza lors d'une conférence de presse à Bangui, le 21 janvier 2014.
La présidente centrafricaine de la transition Catherine Samba-Panza lors d'une conférence de presse à Bangui, le 21 janvier 2014. AFP PHOTO / ISSOUF SANOGO

Makala ya Mtazamo wako inaanzia Jamuhuri ya Afrika ya Kati ambapo Rais mpya wa mpito nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati Catherine Samba Panza baada ya kuapishwa katikati ya juma hili na anaanza rasmi majukumu yake huku Akikabiliwa na changamoto ya kuhakikisha usalama unarejea nchini mwake pamoja na kuleta umoja wa kitaifa....na mengine mengi yaliyojiri ndani ya juma hili karibu!