Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu laiomba DRC kuwafikisha mahakamani wapiganaji wa zamani wa kundi la waasi wa M23

Sauti 21:21

Makala ya mtazamo wako inaangazia mengi juma hili ikiwemo mkutano wa wakuu wa mataifa ya Afrika,AU huko Ethiopia na shirika la Human rights Watch kuitaka serikali ya Kinshasa kuwafikisha mahakamani wapiganaji wa zamanai wa M23 wanaodaiwa kushiriki vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu....kuna hayo na mengine karibu!