Changu Chako, Chako Changu

Tashiti kwenye vichekesho

Sauti 19:59

Sikiliza makala ya "Changu Chako, Chako Changu" ya juma hili ili upate kufahamu jinsi tashiti zinavyotumika kwenye kazi za fasihi kama vile vichekesho ama futuhi kwa jina jingine.