Papie Mumbere ndani ya nyumba ya sanaa na muziki wa Injili

Sauti 19:15
Agenda Culture Afrique
Agenda Culture Afrique RFI

Nyumba ya sanaa inatembelewa na wasanii raia kutoka nchini Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo,DRC Papie Mumbere ambao wanajishughulisha na muziki wa Injili jijini Dar es Salaaam nchini Tanzania.