Sanaa ya muziki nchini Rwanda na changamoto za matumizi ya lugha

Sauti 20:00
Mwanamuziki wa kizazi kipya Stanza Muvandimwe katika harakati za kutafakari muziki, Juni 2019
Mwanamuziki wa kizazi kipya Stanza Muvandimwe katika harakati za kutafakari muziki, Juni 2019 © Facebook

Wasanii wa Muziki nchini Rwanda wanapiga hatua ingawaje changamoto ya matumizi ya lugha inawakwamisha kutoka kisanaa kwa kiwango kikubwa ili wafanikiwe kulifikia soko la Afrika Mashariki Lugha adhimu ya kiswahili lazama itumike katika sanaa yao mbali na lugha mama ya kinyarwanda na wakitaka kufika kimataifa zaidi lugha ya kiingereza sharti watumie katika nyimbo zao.Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya sanaa Sehemu ya pili akiwa na Mvindimwe Gospel maarufu Stanza Msanii wa Muziki kutoka Nchini Rwanda.