Matatizo ya kuganda kwa damu, yanayohusishwa na virusi vya Corona.

Sauti 10:25
waziri wa afya wa Ujerumani, Jens Spahn, akishuhudia utoaji wa chanjo
waziri wa afya wa Ujerumani, Jens Spahn, akishuhudia utoaji wa chanjo © Michael Kappeler/AP/SIPA

Katika Makala haya mpenzi msikilizaji utapata kusikia matatizo ya kuganda kwa damu. Tatizo hili limeongezeka katika kipindi hiki cha maambukizi ya Corona, ambapo baadhi ya dawa zinazotumika kama chanjo dhidi ya Covid-19 zimehusishwa na tatizo hili. Ambatana naye mtangazaji wako Carol Korrir kufahamu mengi zaidi.