DRCongo na Somalia zajadiliwa kujiunga na jumui ya ya Afrika Mashariki EAC

Sauti 10:04
Rais wa DRC, Félix Tshisekedi
Rais wa DRC, Félix Tshisekedi Sumy Sadurni / AFP

Hii leo kwenye Makala ya Habari Rafiki, Ali Bilali anazungumza na wasilikizaji kuhusu hatuwa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC kuyajadili mataifa ya DRCongo na Somalia kujiunga na jumuiya hiyo. Wasilikizaji wanatoa maoni yao kuhusu hilo.