Historia ya aliekuwa rais wa BurkinaFaso mwanamapinduzi Thomas Sankara sehemu ya kwanza

Sauti 20:13
Photo from the Thomas Sankara archives
Photo from the Thomas Sankara archives William F. Campbell/Time & Life Pictures/Getty Images

Katika Makala haya muandishi wetu wa maswala ya Historia anakuletea Historia ya mwanamapinduzi rais wa BurkinaFaso Thomas Sankara alieleta mabadiliko makubwa katika nchi yake na kupinga ubepari pamoja na kupinga kulipa kodi kutoka taasisi za Kimataifa akidaikuwa ni njia ya ukoloni mambo leo iliowekwa ili kuendelea kulitawala bara la Afrika.