Tamaduni za raia wa mwambao wa ziwa Tanganyika.

Sauti 09:56
Raia wanavua samaki katika ziwa   Tanganyika
Raia wanavua samaki katika ziwa Tanganyika Benedict Moran

Katika makala haya  mwanahabari Juliani Rubavu amezuru mwambao wa ziwa Tanyingika, katika kijiji na Ujiji, na kutangamana na wenyeji ambapo ameangazia kwa kina shughuli zao za kila siku.