Uhaba wa dagaa katika Ziwa Tanganyika

Sauti 09:55
dagaa
dagaa AFP/File

Julian Rubavu  anaangazia juu ya uhaba wa dagaa wapatikana katika ziwaTanganyika hukoKigoma, Tanzania.Wenyeji wanasema kuwa dagaa wa Kigomani watamu saana, lakini pia gharama za kuwavua dagaa hao ni kubwa sanaambapo mvuvi anatumia zaidi ya shilingi laki moja na elfu ishirini(120,000). Wenyeji wanasema kuwa sababu nyingine ni zana duni zauvuvi.