Namna vijana nchini Tanzania wanavyojipatia kipato kupitia ujasiriliamali

Sauti 09:58
Vijana wa Tanzani wakiwa katika tamasha la muziki, jijini Dar es salaam
Vijana wa Tanzani wakiwa katika tamasha la muziki, jijini Dar es salaam STRINGER AFP/File

Leo tunaangazia juu ya fursa na ajira kwa vijana nchini Tanzania. Utawasikia vijana wa huko wilayani Rorya mkoani Mara kaskazini-magharibi mwa Tanzania jirani kabisa na mpaka wa Kenya. Kama utakavosikia kwenye mazungumzo yetu, vijana hao wanabainisha ni jinsi gani wameamua kubuni jinsi ya kujipatia kipato kwa njia ya burudani.