Changamoto za usafiri wa majini kwenye Ziwa Victoria nchini Tanzania

Sauti 09:28
Meli katika Ziwa Victoria nchini Tanzania
Meli katika Ziwa Victoria nchini Tanzania AFP

Leo tunaangazia changomoto za usafiri wa majini katika Ziwa Victoria nchini Tanzania. Utawasikia abiria wakizungumizia hili.