Mchezo wa soka unaochezwa ufukweni nchini Burundi

Sauti 09:56
Watoto nchini Afganistan wakicheza soka la ufukweni
Watoto nchini Afganistan wakicheza soka la ufukweni AFP

Leo tunaangazia mchezo wa mpira wa ufukweni huko nchini Burundi. Mchezo huu sio  maarufu sana kwa baadhi ya watu ukilinganisha na mpira wa miguu au mpira wa kikapu. Huko Burundi mpira wa ufukweni umeanza miaka 13 iliyopita.