Mchezo wa gonga kwenye fukwe za visiwani Zanzibar

Sauti 09:56
Fukweni
Fukweni © JEMMA WELCH via REUTERS - JEMMA WELCH

Leo tunaangazia juu ya Mchezo wa Mpira wa Gonga huko Unguja, Zanzibar. Kwa mjibu wa wenyeji niliokuta wakicheza mpira wa Gonga pale Kizingo Beach, Unguja, wameeleza kuwa mpira wa Gonga una asili yake kwenye visiwa vya Brazil, Amerika ya Kusini.