Afrika Ya Mashariki

Uzalishaji wa chai nchini Tanzania

Sauti 09:38
Mumea wa kahawa
Mumea wa kahawa AFP/File

Wakulima wa zao la chai katika mkowa wa Kagera, nchini Tanzania, wameshindwa kuzalisha zao hilo kutoka na changamoto nyingi, ikiwemo kukosa kupata pembejeo za zao hilo. Wengi wakiachana na ukulima wa zao hilo.Juliani Rubavu ametuandalia makala kuhusiana na changamoto za wakulima hao.