Mpango wa serikali ya Tanzania kuwasaidia masikini

Sauti 09:49
Raia wengi Tanzania
Raia wengi Tanzania REUTERS - STRINGER

Tunaangazia juu ya mfuko wa kusaidia watu wasiojiweza kiuchumi nchini ujulukanao kama TASAF nchini Tanzania. Kumekuwepo na manung’uniko ya hapa na pale kuhusu wanufaikaji ambapo baadhi ya malalamiko yanataja baadhi ya watu au hata viongozi wanaojiorodheshakama wasiojiweza ili wafaidi mfuko huo.