Afrika Ya Mashariki

Uhusiano wa raia wanaoishi mpakani mwa taifa la Burundi na Tanzania

Imechapishwa:

 Kwenya makala haya mwandishi wetu, Juliani Rubavu, anaangazia  uhusiano baina ya raia wa Tanzaniawanaoishi kwenye mpaka wa Manyovu wilayani Buhigwe mkoani Kigoma, najirani zao wa tarafa ya Mabanda  mkoani Makamba, nchini Burundi.Wenyeji wa pande zote wanaeleza kuwa uhusiano wao ni mzuri nawanashirikiana kwa kila jambo.

Picha ya mpakani Burundi na Tanzania
Picha ya mpakani Burundi na Tanzania © Julian Rubavu
Matangazo ya kibiashara

 

__________________________