Historia ya Umoja wa Afrika, kuanzishwa kwake hadi sasa sehemu ya pili

Sauti 20:10
Le sommet annuel de l'Union africaine s'est tenu en visioconférence en raison de la pandémie de Covid-19.
Le sommet annuel de l'Union africaine s'est tenu en visioconférence en raison de la pandémie de Covid-19. © Vimeo UA livestream

Hii ni sehemu ya pili ya Makala kuhusu Historia ya Umoja wa Afrika, ambapo katika sehemu hii utapata kusikia kuhusu nchi wanachama wa Umoja huo lakini pia kurejea kwa Morroco katika Umoja baada ya kujiondoa mwaka 1985 kufuatia viongozi wa AU kuitambuwa sahara magharibi kama nchi huru.