Makala maalum ya rfikiswahili ikiadhimisha mwezi wa la Francophonie sehemu ya kwanza

Sauti 19:59
Le XVIe sommet de la Francophonie a lieu ce week-end à Antananarivo.
Le XVIe sommet de la Francophonie a lieu ce week-end à Antananarivo. GIANLUIGI GUERCIA / AFP

Mtangazaji wako nguli wa maswala ya utamaduni na Muziki Ali Bilali anakuletea Makala maalum kuhusu Jumuiya ya nchi zinazo zungumza lugha ya kifaransa maharufu la francophonie. kwenye kipengele cha le parler francophone utamsikia msichana kutoka nchini kenya anaesoma jijini paris, huku burudani ya muziki wa kifaransa ukihitimisha makala. Usikosi pia kutufollow kwa instagram @billy_bilali