Makala maalum kuhusu mwezi wa Francophonie sehemu ya tatu

Sauti 20:21
Julie na Bilali
Julie na Bilali © rfikiswahili/Bilali

Katika sehemu hii ya tatu ya Makala kuhusu la Franchophonie, mtangazaji wako Ali Bilali amempokea studioni Julie Briand afisaa kutoka Ubalizi wa Ufaransa jijini Nairobi kuzungumzia mengi zaidi kuhusu la Francophonie, lakini pia utapata kumsikia Elsie Gathonie raia wa Kenya anaesoma huko Ubelgiji anatueleza nini kilichomvutia kusoma Kifaransa na changamoto alizozipata mwanzoni kutokana na mila na tamaduni.