Historia ya wimbo wa hisani uliopiga fora kote duniani sehem ya kwanza

Sauti 20:14
Historia ya wimbo "We are the world", uliotoka March 7 Mwaka 1985
Historia ya wimbo "We are the world", uliotoka March 7 Mwaka 1985 © DR

Katika Makala haya muandishi wa maswala ya Historia anakuletea Historia ya wimbo wa hisani uliopiga fora kote duniani miaka zaidi ya 30 iliopita mpaka leo We are the World. Wimbo huu uliwajumuisha wanamuziki zaidi ya 80 wa Marekani kwa ajili ya kuchangisha fedha za misaada kuwasaidia watu waliokumbwa na baa la Njaa katika pembe ya Afrika lakini pia Marekani.