Historia ya rais wa zamani wa BurkinaFaso Thomas Sankara sehemu ya kwanza

Sauti 20:13
Photo from the Thomas Sankara archives
Photo from the Thomas Sankara archives William F. Campbell/Time & Life Pictures/Getty Images

Katika sehemu hii ya kwanza ya Makala kuhusu Historia ya rais wa zamani wa BurkinaFaso Capreni Thomas Sankara, Ali Bilali na Benson Wakoli wanazungumzia kuhusu alivoanza harakati kuelekea kwenye mapinduzi ya kijeshi.