Historia ya rais wa zamani wa BurkinaFaso Thomas Sankara mwanzo wa harakati sehemu ya pili

Sauti 20:23
 Che Guevara':wa Afrika Thomas Sankara bado anakumbukwa miaka  30 baada ya kifo chake
Che Guevara':wa Afrika Thomas Sankara bado anakumbukwa miaka 30 baada ya kifo chake AFP

Katika sehemu hii ya pili, mwanahistoria wetu Ali Bilali anakuletea historia na namna Thomas Sankara alivyoanza harakati zake za kisiasa.

Matangazo ya kibiashara

Kumbuka pia kutufollow kwa instagram https://www.instagram.com/billy_bilali/