Historia ya Kiongozi wa Tchad Idriss Debby Itno sehemu ya kwanza

Sauti 20:07
Idris Deby Itno.
Idris Deby Itno. ASSOCIATED PRESS - Jerome Delay

Katika sehemu hii ya kwanza, mwanahistoria Ali Bilali anakuletea Historia ya rais wa Tchad Idriss Deby Itno, katika sehemu hii ya kwanza anakueleza kuhusu harakati zake kuelekea kuishika dola na kuchaguliwa kwa muhula wa kwanza.