Historia ya Radio miaka mia moja tangu kuundwa kwake sehemu ya kwanza

Sauti 20:20
Siku kuu ya Radio
Siku kuu ya Radio © DR

Makala haya Changu Chako Ali Bilali anakuletea Historia ya miaka 100 tangu kuundwa kwa radio, hatuwa ya mwanzo kabisa hadi kupatikana kwa masafa marefu na mafupi, hii ikiwa ni sehemu ya kwanza.

Matangazo ya kibiashara

Usikosi pia kutufollow kwa Instagram @billy_bilali