Changu Chako, Chako Changu
Historia ya binadamu katika Kaunti ya Turkana nchini Kenya
Imechapishwa:
Cheza - 20:08
Kuhusu historia na utamaduni, tunaangazia utafiti wa shughuli, asili, na tamaduni ya binadamu zaidi ya miaka Milioni tatu iliyopita, katika êneo la Turkana, nchini Kenya uliofanywa na Profesa Mfaransa Sonia Harmand kwa ushirikiano na Makavazi ya taifa ya Kenya.