Gurudumu la Uchumi

Tanzania na Afrika itamkumbuka vipi Magufuli

Sauti 09:51
Aliyekuwa rais wa Tanzania, hayati John Magufuli, hapa ilikuwa tarehe 24 02 2021, jijini Dar es Salaam.
Aliyekuwa rais wa Tanzania, hayati John Magufuli, hapa ilikuwa tarehe 24 02 2021, jijini Dar es Salaam. REUTERS - STRINGER

Ametajwa na viongozi wenzake wengi kama mwanamajumuhi wa Afrika, Kutokana na utendaji wake na namna alivyokuwa mstari wa mbele kupigania maslahi ya nchi na raia wake licha ya ukosolewaji.Makala ya Gurudumu la uchumi juma hili inamuangazia aliyekuwa rais wa Tanzania, hayati John Pombe Magufuli ambaye alifariki tarehe 17 ya mwezi huu akipatiwa matibabu jijini Dar es Salaam Tanzania.Mtangazaji amezungumza na Profesa Wetengere Kitojo, akiwa jijini Dar es Salaam, Tanzania.